Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Na vile misukule kwa misukule huwa wanaelewanaMisukule mpo vizuri
Mkuuu hapo ndipo utajuaa maana ya mawazoJe bifu likianza siku moja baada ya ndoa
Hebu convert yawe ya kikubwa mkuu alafu utoe mchango wakoNinja una mawazo ya KITOTO kupitilizaaaa...
Hiyo ndio picha yako halisi au sijaelewa
Forekzampo makonda eikeiei bashiteKuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.
Numbisa huyo mrembo kwenye avatar yako anaitwa nani ?
Umem follow ?Atakusaidia sana kufanya background check.
Eeeh japo aliniblock toka 2015 sema namfollow na acc ingine.Umem follow ?
Akikugundua unaloEeeh japo aliniblock toka 2015 sema namfollow na acc ingine.
Huwa silike wala kucomment. Naingia kula ubuyu tu baasi.Akikugundua unalo