Mara paa demu unayetaka kumuoa anaingia kwenye bifu na mange kimambi

Mara paa demu unayetaka kumuoa anaingia kwenye bifu na mange kimambi

Team Work
284789.jpg
 
Kuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.
Forekzampo makonda eikeiei bashite
 
Mange anaweza pata mpaka picha zako na watoto wenzio ulio cheza nao ukuti na kibaba na mama yule demu nuksi a.k.a antivirus
 
Back
Top Bottom