Mara paaaa unamuona mama yako hapo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanatafuta tisheti, khanga, kofia na elfu 20 hapo.
Lol
 
Mama yangu hawezi kufanya huo upumbavu.
Lakini ndio mfano imetokea basi siku hiyo atanipa laana, nitamtandika, chalaza sana mikwaju, akili imkae sawa.πŸ˜„πŸ€£
 
Mama yangu hawezi kufanya huo upumbavu.
Lakini ndio mfano imetokea basi siku hiyo atanipa laana, nitamtandika, chalaza sana mikwaju, akili imkae sawa.πŸ˜„πŸ€£
Umetisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…