Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!

Unaota amka, kwa pesa gani mlizonazo za kumplia Tau
 
Samahani mtoa mada... narudia Tena samahani Sina Nia mbaya ila Kila nikiingalia hiyo picha napata utata kuelewa hiyo nguo aliyoivaa chini ni bukta au msuli?
 
Unaota amka, kwa pesa gani mlizonazo za kumplia Tau
Nilijua tu TAHARUKI itatokea, lakini ebo tuwe wazi ni kweli Percy Tau umri wake kwa sasa wa kucheza Yanga?😜
 
Bora msuva Tau mikikimikiki ya uwanja Al hasaan mwinyi hawezi
 
Hiyo ndoto yako usiiseme italeta taharuki kwa wana jangwani
 
PERCY TAU NI ATEBA KIJEBA ALIYECHANGAMKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…