Mara Paaaaap,!

Tuanze kutafuta koroboi zetu maana tunakoenda hali si shwari...
 
Mara paap kichwa kinananhii, poleni sana watanzania kwa mvua
 
Kuna mkoa mmoja hivi nilienda,mvua ilikuwa inanyesha sana na umeme upo kama kawaida

Ila hapa Dar kukiwa na dalili ya mvua tu wanakata

Nyaya za umeme za Dar na nguzo ziko kama biscuit nadhani. Maana matone yakianza kudondoka tu wanakata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyaya za umeme za Dar na nguzo ziko kama biscuit nadhani. Maana matone yakianza kudondoka tu wanakata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhahahhahh labda Dar kuna matatizo binafsi na hizi mvua
 
Zile treni zetu za Umeme zikianza ku operate kwenye vipindi vya mvua sijui itakuaje [emoji5] [emoji5] [emoji4]

Mara paaaaaap iiiiiiiiii kitu kimezimikia Ubenazomozi
 
Nyie mnaosema dar hamna umeme inabidi mtuambie mnakaa dar sehem gani mbona huku kwetu upo vzr tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…