Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio shida ya kutumia uasili wa mazingira, umeme wa jua sijui mvua aaaghrrrrWanaboa sana asee,kisa kuna mvua
Huko kwenu hawajakata?Poleni
Kuna mkoa mmoja hivi nilienda,mvua ilikuwa inanyesha sana na umeme upo kama kawaidandio shida ya kutumia uasili wa mazingira, umeme wa jua sijui mvua aaaghrrrr
HapanaHuko kwenu hawajakata?
Tuko Karibu na waridi lazima tunukie Sie!!!!Hongereni
Sisi huku ni majanga tu
Kuna mkoa mmoja hivi nilienda,mvua ilikuwa inanyesha sana na umeme upo kama kawaida
Ila hapa Dar kukiwa na dalili ya mvua tu wanakata
AaaaaghhhrrrTuko Karibu na waridi lazima tunukie Sie!!!!
Pole mnooo
Hhahahhahh labda Dar kuna matatizo binafsi na hizi mvuaNyaya za umeme za Dar na nguzo ziko kama biscuit nadhani. Maana matone yakianza kudondoka tu wanakata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]