Mzigua wa kuchovya
Member
- May 4, 2017
- 57
- 63
Hiv ikitokea tu ndo unajikuta unamiaka kumi ndo kwaaanza unaamshwa uende shule yaaani muda wote huo ambao we unajiona umekuwa mkubwa kumbe ulikuwa unaota tu
UTAFANYAJE?
UTAFANYAJE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HhahahhaahaSitenda shule siku hiyo nitaendelea kuchapa usingizi
Au nakutafuta tukacheze kibaba babaHhahahhaaha
Mmmh me muda huo nitakuwa natafuta kidumu na ufagioAu nakutafuta tukacheze kibaba baba
Hahahahaha utaniua kama juxMmmh me muda huo nitakuwa natafuta kidumu na ufagio
Hapana kidoogo tyuuuHahahahaha utaniua kama jux
sawa mama laknHapana kidoogo tyuuu
Mara paap unanikuta nipo nje nakusubir na kidumu changu huku chini nimevaa soksi za pundamilia na begi la sportHahahahaha utaniua kama jux
HahaaaI go back to bed and start dreaming again
alafu tunaongoza mdgo mdgo hadi shuleni huku nimekusaidia kidumuMara paap unanikuta nipo nje nakusubir na kidumu changu huku chini nimevaa soksi za pundamilia na begi la sport
Mmh sio tutaachana barabarani mwenzangu unaingia kwenye school bus me naukanyagaalafu tunaongoza mdgo mdgo hadi shuleni huku nimekusaidia kidumu
Never nisinge weza fanya ivyoMmh sio tutaachana barabarani mwenzangu unaingia kwenye school bus me naukanyaga
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Never nisinge weza fanya ivyo