Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh jamani shule hazija fungua tu?Ntafanya na condom
HahahahahNilikwisha wahi kujiuliza hili swali mara nyingi sana
Usisahau na MY CLEAR BAG hahahMara paap unanikuta nipo nje nakusubir na kidumu changu huku chini nimevaa soksi za pundamilia na begi la sport
AiseeeHahahahah...
Dah ni kuwatafuta kina Mariamu, kadadaa, klaudia, manka, lugano, koku...tukacheze kibaba na mama!
Dah good old days...