Mara paaap Zari anasema Nilan na Tiffah sio watoto wa Diamond!!!

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Wanasema ukigombana na mwanamke chunga mdomo wako,sasa kwa hili linaloendelea kati ya Diamond na Bibie zari ni wazi sasa they are no longer,najiuliza tu siku zari akaja kuadmit zile tetesi za kuwa Tiffah na Nilan sio watoto halali wa Diamond,mmmhhhhh Mungu aepushe hili maana Ufalme wa Madale unaweza ukawa ndo end point....
 
Maraaa pap ... Kakojoe ukalaleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara paaap,diamond watu wamemchoka kawa kama saida karoli anakunywa kimpumu,zari ana hela za urithi za mumewe marehemu
 
Lakini haya si ni maisha ya watu?! Mbona watu wanayahangaikia?! Yaani haya hayatakiwi kumsumbua yeyote, yanamkuta kila mtu na wala hakuna aliye mjanja
 
Kila mtafuta janga, huchumia kwake.....
Na hapa ndipo unakuja ule usemi wa Kunguru hafugiki.
Zari alisahau kwamba anafanya maisha na mtoto wa madale uswazi, aliekua amezowea vinuka mkojo.
Diamond kwa tabia zake, kamwe hawezi kufanya maisha na mwanamke anaejielewa
 
Mara Paaaaaaaaaaap GIGGY sugu kunako makalio ampa Papa diamond na kuzaa kitiffah chengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…