Mara paaap Zari anasema Nilan na Tiffah sio watoto wa Diamond!!!

Ila hilo ndo linafuata
Najiuliza sana mbona huyu kijana watu wameamua kumuandama sana maana kuna watu maarufu kibao huku mtaani na wana watoto kwa mama tofauti , na wala hakuna kelele hivi kijana kama Diamond na hela anazopata na ameshakuwa mtu maarufu hata kutongoza hatongozi wanakuja wenyewe ni umri tu utapita na mambo mengine yataendelea
Lakini haya si ni maisha ya watu?! Mbona watu wanayahangaikia?! Yaani haya hayatakiwi kumsumbua yeyote, yanamkuta kila mtu na wala hakuna aliye mjanja
 
Mara Paaaaaaaaaaap GIGGY suku kunako makalio ampa Papa diamond na kuzaa kitiffah chengine.
Maraaa pap .... Unaota Machumbari unayachanganya na mchanga ...[emoji23][emoji23][emoji23] ... Dillissh utampeleka wapi
 
Tiffan ndiye atakuja zikomba mali za chai jaba kuzielekezea kwa mama yake Uganda!

Ile laana ya chai jaba ya kumtelekeza baba yake lazima imtafune hata akiwa kaburini mali zake zitahusika.
 
Usihukumu ukaja kuhukumiwa....

wanawake ni wanawake as long as wana papuchi...kinukamkojo wakishua wote wanavua vyupi wanakalia hogo la jangombe....thats it.
 
Usihukumu ukaja kuhukumiwa....

wanawake ni wanawake as long as wana papuchi...kinukamkojo wakishua wote wanavua vyupi wanakalia hogo la jangombe....thats it.
Kutoa maoni, haijawahi kuwa hukumu please....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…