farahanially
Member
- Nov 4, 2016
- 54
- 122
Najiuliza sana mbona huyu kijana watu wameamua kumuandama sana maana kuna watu maarufu kibao huku mtaani na wana watoto kwa mama tofauti , na wala hakuna kelele hivi kijana kama Diamond na hela anazopata na ameshakuwa mtu maarufu hata kutongoza hatongozi wanakuja wenyewe ni umri tu utapita na mambo mengine yataendeleaIla hilo ndo linafuata
Lakini haya si ni maisha ya watu?! Mbona watu wanayahangaikia?! Yaani haya hayatakiwi kumsumbua yeyote, yanamkuta kila mtu na wala hakuna aliye mjanja