Mara paap hakuna smartphone

Hata wewe unapenda ubuyu ndio maana kila thread upo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sema baadhi sio kila thread

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Tujuzane na site ambazo tunashinda mda mrefu mimi niko jamiiforum twenty four hours
 
Safi kabisa
 
Ikiibiwa usiku nalala nikiwa naweweseka Ndio zipigwe marufuku nitapata ugonjwa wa kuzubaa 😳😳
 
smartphones zikitoweka nitalala usingizi mzuri kwa masaa mengi zaidi, angalau nitaanza tena kuangalia Tv pamoja na familia, kusikiliza radio za fm, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha
Huu ni uraibu, watu watanunua tu.

Usijefanya watu watafute line za mitandao ya kenya bure[emoji125] [emoji125] [emoji125] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…