Mara paap hakuna smartphone

Mara paap hakuna smartphone

Hata wewe unapenda ubuyu ndio maana kila thread upo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sema baadhi sio kila thread

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Tujuzane na site ambazo tunashinda mda mrefu mimi niko jamiiforum twenty four hours
 
Mleta mada mimi ni me nikianza kutumia simu kwa mara ya kwanza 2008 motorola l 6 ,kitendo cha kujua tu matumizi ya internet kilibadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa .
Sasa ni miaka tisa kwa kweli smartphone inanifanya niwe na furaha napenda kuchezea simu nzuri hasa kutoka big brandy kama kina samsung apple na microsoft naipenda sana smartphone
Safi kabisa
 
Ikiibiwa usiku nalala nikiwa naweweseka Ndio zipigwe marufuku nitapata ugonjwa wa kuzubaa 😳😳
 
smartphones zikitoweka nitalala usingizi mzuri kwa masaa mengi zaidi, angalau nitaanza tena kuangalia Tv pamoja na familia, kusikiliza radio za fm, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeleta smart phone ameleta matatizo

Ofisini ufanisi 0
Watoto hawasomi muda wote wanachezea smart phone

Ujamaa ,ushirikiano katika jamii ,mtaani,ujirani umekufa


Ningekuwa rais ningepiga marufuku total ban

Na bundle zingepandishwa mb200 kwa 7000/=
Ha ha ha
Huu ni uraibu, watu watanunua tu.

Usijefanya watu watafute line za mitandao ya kenya bure[emoji125] [emoji125] [emoji125] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom