Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
hapo urahisi hupati ndg yngAliyeleta smart phone ameleta matatizo
Ofisini ufanisi 0
Watoto hawasomi muda wote wanachezea smart phone
Ujamaa ,ushirikiano katika jamii ,mtaani,ujirani umekufa
Ningekuwa rais ningepiga marufuku total ban
Na bundle zingepandishwa mb200 kwa 7000/=
Khaa!! Wewe hujui tuu,
Yeah mkuuHahahahaha barua s.l.p
Paap nimeunasa sasa hivi huu uziKama kawaida Paap nipo hapa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Paap nimeunasa sasa hivi huu uzi
Naunga mukono hojaAah connection na watu mbalimbali wa muhimu zitapotea na vile vile habari mbalimbali nitazikosa pia
kweli kabisaNaunga mukono hoja
post using my macbook air using jamiiforums app