Mara paap hakuna smartphone

Mara paap hakuna smartphone

nimekumbuka kipindi nimeibiwa simu nilikaa miezi kadhaa hadi kununua nyingine nilihisi kama upweke fulani hivi.
 
Aliyeleta smart phone ameleta matatizo

Ofisini ufanisi 0
Watoto hawasomi muda wote wanachezea smart phone

Ujamaa ,ushirikiano katika jamii ,mtaani,ujirani umekufa


Ningekuwa rais ningepiga marufuku total ban

Na bundle zingepandishwa mb200 kwa 7000/=
hapo urahisi hupati ndg yng
 
Niseme tuu kuwa katika ukubwa wangu niseme nimepitia njia zote za kueneza habari

Kuanzia wale wabeba ujumbe
Tuakaja barua
Tukaja na cm za mezani
Tukasoge kwenye radio calls
Tukaingia kwenye hizi sasa za viganjani

Na sasa zama hizi za kutelezesha na kuiweka dunia kiganjani.
Aseee mara pap hakuna vyote. Siku fichi unaweza kukaa miaka kumi humjui rais,

Achilia mbali mambo mengine, kama mapigo ya mioyo kusimama na watu wengi kufikia kiwango cha kusahau majina yao.

Kikubwa zaidi kuna watu hata hawatajua saa hivi ni saa ngapi na siku gani achilia mbali tarehe
 
Smart phone zikipotea computer zipo... so watu watahamia kwenye mifumo mingine...


cc: mahondaw
Khaa!! Wewe hujui tuu,

Utatembea nacho kijijini??
Achilia mbali vipi umeme??
Smart acha tuu huku kijijini na kasora ka wat kadhaa tuu ngoma iko poa


Hata sisi watu wazima tunajiachia kwa kukuza misamiati, huwa nawacheka wajukuu wakijifanya wananifumba nabmusemo yao, mi mwisho nasemaga tu
Nawachora
 
kwa smartphone hii hii please nipokeee Ipuli maana hakuna namna na PM umeifunga
 
Back
Top Bottom