Mara paap nimekuwa rasmi mwanaume wa dar...

Mara paap nimekuwa rasmi mwanaume wa dar...

jembe lako uliache uko kibondo huku utalima lami alaf kama hujui kukata kiuno sabuni itakuhusu
 
Wakuu ebu nipeni tips ya kulikabili jiji...wanaume wa dar oyeee
Kama huyu...[emoji53] [emoji45]
tapatalk_1536604712592.jpeg
 
Misuruali yako ya 4GB mapana 60 yaache huko huko Nanjilinji, huku ni slim fit wenyewe tunaziita Modo
 
Back
Top Bottom