ni sawa na mbowe kushinda kesi ya ugaidiinayomkabiliNdio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.
Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Mzamiru,Mkude ,Feisal .Kipigo mtakachopata mtajutaInawezekana mbona
Cha msingi awepo straika na viungo wazuri tu
Kuna mdau hapa anasema bocco mzee sana kukata kona shida eti[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka atafutwe mbadala ndo tutafuzu