uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
- Thread starter
- #101
Egypt ndio kina Mo SalahSouth africa,Nigeria,Egypt hawana historia nzuri ya kufuzu kombe la dunia kwa umri wangu tangu mtoto mpaka leo hii nimewaona mara moja wakicheza world cup kule Russia...tukikutana nao tunaweza jitahidi,Mali pia tunawezajitahidi.