Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kikubwa viongozi wa serikali wapunguze pressure kwa wachezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa viongozi wa serikali wapunguze pressure kwa wachezaji
Hukunielewa tu mkuu.Hakuna siku unaweza kukuta timu ulizotaja hapo kuwa kundi moja.
Soka ni biashara ndugu.
Kuhusu Stars inawezekana,. Lakini siyo hili la Qatar.
Nne kivipi?..tukishafuzu kundi tunaweza kudraw away na tukashinda home na tukaenda QatarShida watu hawasemi ukweli. Mpaka sasa ili tuende huko tuna mechi 4 za kushinda.
Hapa zinahitajika Team 5.Tanzania inaweza kufuzu kwanza timu ikijiamini pili mashabiki (Watanzania)kuamini kwamba inawezekana kwenda Qatar 2022....sio maneno ya kichawi kichawi na kuwalaani wachezaji na serikali inayojitolea kufanikisha hilo.
Togo yakina Adebayor waliwezaje kucheza world cup?
Walikuwa na mchezaji maarufu mmoja tu...mkijiamini mnatoboa kabisa
....lakini wabongo wengi hawana matumaini
Nafasi ya Tanzania ni nzuri kama itaweka malengo ya kufika Qatar wachezaji wajitume kwa jasho na damu yaani ile kupigana mpaka unabaki fuvu.
Hii hatua ya awali sio shida.Nne kivipi?..tukishafuzu kundi tunaweza kudraw away na tukashinda home na tukaenda Qatar
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muombe aliekaribu yako akupige Kofi ili utoke usingizini haraka sana
Sawa mkuu. Asante kwa ufafanuzi, asante pia kwa uvumilivu na namna ulivyojibu.[emoji120]Hukunielewa tu mkuu.
Nilimaanisha itakuwaje tukiwa kundi moja na Timu kama nilizotaja.
Nikimaanisha team mojawapo
South africa,Nigeria,Egypt hawana historia nzuri ya kufuzu kombe la dunia kwa umri wangu tangu mtoto mpaka leo hii nimewaona mara moja wakicheza world cup kule Russia...tukikutana nao tunaweza jitahidi,Mali pia tunawezajitahidi.Hapa zinahitajika Team 5.
Tutatoboa tukipangwa na team ipi?
1.Algeria
2.Tunisia
3.Nigeria
4.Ivory Coast
5.Mali
6.Egypt
7.South Africa
8.Senegal
9.Morocco
10.Tanzania