kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Mpaka wapatikane na hatiaWafukuzwe kazi ili waliomtaani wachukue nafasi
Haiwezi kuwa suruhu ya wewe kupata ajiraWafukuzwe kazi ili waliomtaani wachukue nafasi
Yaani nifanye kaz ktk serikali ya ccmHaiwezi kuwa suruhu ya wewe kupata ajira
NdioMashtaka 811?!
Makosa Yote Yao HaoMashtaka 811?!
Wamekula kwa urefu wa kamba yaoMakosa yanawazidi urefu
Wameibaje sasa ufafanuzi tafadhaliMama anaupiga mwingi sana.
Halafu uzuri mmoja wa mama yeye hana maneno mengi.ukizingua nae anakuzingua.
====
Taasisi si ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara imewapandisha kizimbani watumishi 11 wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) wakikabiliwa na mashtaka 811 ya uhujumu uchumi ambapo leo wamesomewa mashtaka mawili la kwanza na la mwisho, ambalo ni kuongoza genge la wahalifu na la kuusababishia mfuko hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 30.
View attachment 2129918
Picha hapo wenyewe hawaendani na hizo bilion 30Makosa Yote Yao Hao
HahahaPicha hapo wenyewe hawaendani na hizo bilion 30
Ova
Kwa izo yeboyebo walizovaa hao ni dagaa tu.Picha hapo wenyewe hawaendani na hizo bilion 30
Ova
hii kama ilikuwa ya elastic material maana wamekula parefu mnooWamekula kwa urefu wa kamba yao