Mara: Watu 11 wafikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa kuiibia NHIF

Matunda ya ufukunyuku wa RC Happi hayo.

Mkoa wa Mara inaonesha taasisi za umma zimeoza sana na kujisahau pakubwa.

Na sasa wamekumbana na adha ya kiongozi mfuatiliaji, wajiandae kunyolewa kwa kuzitia nywele zao mapovu.
 
Hawa wameangukiwa na jumba bovu, Sidhani kama wanausika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…