OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Usinikumbishe ile squad ya Ajax, ikiongozwa na Patrick Kluivert, kushoto kuna finidi George, kulia kuna winger teleza Tijani Babangida katikati centre forward yupo Nwankwo Kanu. Mid fielders Edger David's akina de boer hii timu ilikuwa balaa. Tisa kumi yote timu yangu JUVENTUS TORINO bibi kizee kulikuwepo na akina gianluca Viali, fabrizzio Ravanelli, Zinedine Zidane, Lilian thuram, Atillio Lombardo sisi waitaliano tukibeba kombe siku hiyo. Huyu Viali akahamia Chelsea baada ya kuchomeka kombe na ikawa mwanzo wa mie kuipenda CHELSEAJuventus vs ajax uefa champion league final 1996 ...
West Germany Vs Argentina World cup,1990,Ruud voller,Jurgen klinsmann,Thomas hasler,Diego maradona,
Nilikuwa bado shule ya msingi Kule kijijini hakukuwa na TV. Tulisafiri km 50 na dingi kwa baiskeli kwenda kumwangalia David Beckham. Ilikuwa ni 1999 fainali kubwa Man Utd na Bayen Munich.
Nilikuwa nashangaa tu,sielewi kitu. Jamaa wanazi wajuzi wa kandanda wakaja kunisimulia baadae kwamba Man U kashinda goli 2 ndani ya dakika 2 za nyongeza.
Kumbe bana katika maisha usikate tamaa. Tuambie wewe ipi ilikuwa mechi yako ya kwanza
#Bring back our Billionaire Mo Dewji
Sir Nwanko KanuUsinikumbishe ile squad ya Ajax, ikiongozwa na Patrick Kluivert, kushoto kuna finidi George, kulia kuna winger teleza Tijani Babangida katikati centre forward yupo Nwankwo Kanu. Mid fielders Edger David's akina de boer hii timu ilikuwa balaa. Tisa kumi yote timu yangu JUVENTUS TORINO bibi kizee kulikuwepo na akina gianluca Viali, fabrizzio Ravanelli, Zinedine Zidane, Lilian thuram, Atillio Lombardo sisi waitaliano tukibeba kombe siku hiyo. Huyu Viali akahamia Chelsea baada ya kuchomeka kombe na ikawa mwanzo wa mie kuipenda CHELSEA
Juventus vs ajax uefa champion league final 1996 ...