Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Huyo binti sio kwa makelele yale mara niitwe mume wanguuu mara hapo hapo ongezaaa mara umejifunzia wapiii πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mara so sweettttt πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€, inawezekana route ya kumfikisha nyumbani kwake ulifanikiwa mkuu
 
Najua wote tunajitunza kumbe wenzangu mnafanyaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Najua wote tunajitunza kumbe wenzangu mnafanyaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Ni muhimu kujaribu mkuu, ndo njia ya kujifunza yenyewe.
 
Nacheka Sana nikikumbuka, miaka hiyo nilimkuta mdogo wangu Yuko sebuleni amejikunyata tuliii sakafuni, nilishtuka nilihisi dogo kafariki lakini sasa kilichoniondoa hofu ni uji uliotapakaa pale alipolala halafu Kochi moja kama imechafuka hivi, nikajua Tu dada wa kazi Anita ashafanya mambo maana nyumba niliikuta kimya Obvious dada wa kazi naye alikuwa mwepesi kajilalia chumbani kwake, wote wawili vichupa nahisi vilijaa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, kwa hiyo dogo alikuwa ameishiwa nguvu na usingizi juuu??
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, kwa hiyo dogo alikuwa ameishiwa nguvu na usingizi juuu??
Dogo Hana nguvu katepeta kabisa, miaka ikapita dogo alikuja kuniambia pale alikuwa anasikia Raha Tu pale chini, shenzi kabisa.
 
Nilihisi utamu unatokea kwenye kucha hadi nikahonga ada ya mtihani wa "fomfoo"!.Shenzi zangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…