Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

😂😂😂😂 na usipoitoa siku hiyo hiyo watu wanaweza kukusaidia kuitoa
Yeah, hakalali siku hiyo kanatafuta mwamba mwingine atoe lock 🔓
 
Reactions: Oho
Mimi nikuwa najua kukojoa ni huu mkojo wa kawaida hivyo nilikunywa maji ya kutosha, sinta sahau yale matusi...nilimkojolea mpaka akashangaa😂😂😂
Labda kama wewe ni mwanamke lakini kwa mwanaume haiwezekani kukojoa mkojo wakawaida wakati watendo
 
Nilikuwa nasikia story tu kwamba lazima ukatike ukifanya mapenzi
Sasa siku nafanya kwa mara ya kwanza nilisikia maumivu hadi nikawaza sasa hapa nakatikaje 🤣
 
Labda kama wewe ni mwanamke lakini kwa mwanaume haiwezekani kukojoa mkojo wakawaida wakati watendo
Yawezekana hakuingiza kabisa, alienda kumwagilia kama bomba juu ya mwili wake.
 
Nilikuwa nasikia story tu kwamba lazima ukatike ukifanya mapenzi
Sasa siku nafanya kwa mara ya kwanza nilisikia maumivu hadi nikawaza sasa hapa nakatikaje 🤣
😅😅, walikuingiza king hao, siku ya kwanza uanze kuikatikia, labda walihisi wewe ni mzoefu...
 
Dada wa kazi alinibananisha usiku, mara ya kwanza sikuenjoy alinilazimisha. Akaanza kuniona mimi kama baba mwenye nyumba, wakamtimua home😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…