Naona unachanganya mambo, umeokota simu 1999 halafu ukaja kutumia baada ya miaka miwili!!!??
Mwaka 1999 hakukuwepo voda, celtel wala tigo, kulikuwa na GSM network ya tritel (postpaid) tu ambayo coverage yake ilikuwa hata kimara haifiki
na ilikuwa ni dar Es salam tu,
Hiyo simu uliyokota 1999 ilikuwa inatumia line gani?
Prepaid GSM zilianza kuuzwa na vodacom, August 2000, ikifuatiwa na mobitel September mwaka huo huo
Labda uniambie uliyokota simu poa ya mobitel kwa miaka hiyo unayosemea lkn kumbuka hiyo haikuwa na laini ndani yake