Mara ya kwanza kumiliki simu yako binafsi ya mkononi

Mara ya kwanza kumiliki simu yako binafsi ya mkononi

Duh. Hongera sana huenda wewe ndio ukawa babu/bibi wa JF. Shikamoo babu/bibi. 1985 Iphone that is not serious peleka child corner. Joks
[emoji848]Mwaka 1985 nilinunua iPhone 7 [emoji848]



Update.
Wewe uliyedukua I'd yangu njoo ufute ulichoandika,
Ukiongopa uwe na kumbukumbu.
 
Mkuu ukisoma vizuri utaelewa mwaka 1999 simu niliiokota ikiwa na lain japo sikumbuk ilikua ni ya mtandao gani.
Mwaka 1999 nilikua nimemaliza darasa la saba nikiwa form two ndio mtandao wa voda ukazinduliwa mkoani ina maana ni miaka 3 plus 1999 nadhani hapo unapata jibu kamili ilikua mwaka gani.
Siwezi kuanzisha Uzi wa kufikirika najua humu kuna ma great thinkers lazima watakuumbua tu.
Naona unachanganya mambo, umeokota simu 1999 halafu ukaja kutumia baada ya miaka miwili!!!??

Mwaka 1999 hakukuwepo voda, celtel wala tigo, kulikuwa na GSM network ya tritel (postpaid) tu ambayo coverage yake ilikuwa hata kimara haifiki
na ilikuwa ni dar Es salam tu,
Hiyo simu uliyokota 1999 ilikuwa inatumia line gani?
Prepaid GSM zilianza kuuzwa na vodacom, August 2000, ikifuatiwa na mobitel September mwaka huo huo
Labda uniambie uliyokota simu poa ya mobitel kwa miaka hiyo unayosemea lkn kumbuka hiyo haikuwa na laini ndani yake
 
Back
Top Bottom