Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

Uzi umejaa chupi chupi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nenda kwa boss kidukulilo akununulie za Paris France
 
Usipende kubeba zawadi kwa mikono, zimepita sehemu mbalimbali zinaweza kupa infections. Tumia roborts au mashine maalum.
 
Viungo vingi hukosesha ladha
Nmeshindwa hata kumalizia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ndiyo kiduku lilo sasa.
Ila mkuu kidogo nidhani si wewe maana haujataja kabisa aina ya gari uliyompatia huyo mlimbwende kama ni range ya 2020 new model au g-wagon .
 
Tajiri pekee anayeandika sredi ndefu kama makala ya kuelezea umuhimu wa mazingira...
 
Yna2

Fursa hii hapa dada yangu, achana na matajiri wachovu wa bongo
 
Back
Top Bottom