Mara ya kwanza tangu tumepata uhuru Rais na Waziri mkuu wake wanaongoza nchi huku wanalia majukwaani wanachukiwa

Rais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari

Huyu anasema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa.

Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuwachukia Dr SSH na Mwigulu, kazi wanayoifanya inaongea kwa niaba yao.
 
Acha uchawa, wanachukiwa kweli.
Humu mitandaoni, huko mikoani wanatimiza ahadi kila kukicha.

Ukitaka kujua hawachukiwi tazama namna maandamano yaliyoitishwa desemba 9 mwaka jana namna yalivyofeli.

Vijana waligundua wanaimbishwa nyimbo za kishetani zenye lengo la kuiharibu Tanzania.
 
Tangu nijiunge Jf sijawahi kuona ukiwa na hoja zenye akili.
 
Rais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari

Huyu anasema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa.

Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
Na mimi nawasaidia kulalamika, kwa nini mnawachukia waziwazi mpaka wanalialia na kutia huruma majukwaani?
 
Back
Top Bottom