Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
nonsenseRais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari
Huyu anaaema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa.
Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
Acha uchawa, wanachukiwa kweli.nonsense
Makalio kaa kimyanonsense
Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuwachukia Dr SSH na Mwigulu, kazi wanayoifanya inaongea kwa niaba yao.Rais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari
Huyu anasema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa.
Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
tuliza mihemko na nonsense useless gentlemanMakalio kaa kimya
Humu mitandaoni, huko mikoani wanatimiza ahadi kila kukicha.Acha uchawa, wanachukiwa kweli.
relax gentleman, huna haja ya kupanic kwasababu ya hiyo nonsenseAcha uchawa, wanachukiwa kweli.
We mku..du kaa kimya. Narudiatuliza mihemko na nonsense useless gentleman
Poor argumentHumu mitandaoni, huko mikoani wanatimiza ahadi kila kukicha.
Ukitaka kujua hawachukiwi tazama namna maandamano yaliyoitishwa desemba 9 mwaka jana namna yalivyofeli.
Vijana waligundua wanaimbishwa nyimbo za kishetani zenye lengo la kuiharibu Tanzania.
Tangu nijiunge Jf sijawahi kuona ukiwa na hoja zenye akili.Humu mitandaoni, huko mikoani wanatimiza ahadi kila kukicha.
Ukitaka kujua hawachukiwi tazama namna maandamano yaliyoitishwa desemba 9 mwaka jana namna yalivyofeli.
Vijana waligundua wanaimbishwa nyimbo za kishetani zenye lengo la kuiharibu Tanzania.
nonsenseWe mku..du kaa kimya. Narudia
Na mimi nawasaidia kulalamika, kwa nini mnawachukia waziwazi mpaka wanalialia na kutia huruma majukwaani?Rais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari
Huyu anasema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa.
Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
We ulisikia wapi?Rais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari
Huyu anasema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa.
Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
Usihangaike na maruhaniAcha uchawa, wanachukiwa kweli.