shamba la bibi mkuu. ingekuwa kwa mchina asingetokaJkt ilikuwa wapi?
Uhuru aka shamba la bibiJkt ilikuwa wapi?
KUWAFANANISHA NA NAMUNGO UMEWAHESHIMU SANAKwa sasa hivi yanga kuifunga simba ni ndoto watafute sare basi lkn ukiangalia yanga haina tofauti na namungo au coast
Imani kama hiyo ndio iliyo iponza Simba dhidi ya UD Songo nakushuhudiwa wakitanguliwa goli na kisha wakaanza kuangaika kulichomoa. Mpira hauchezwi kwa maneno ya kumbukizi.Nataka niweke records sawa kwa wana yanga kuwa, mara ya mwisho Simba SC kufungwa Uwanja wa Taifa aka kwa mchina ilikuwa 23/05/2019 alifungwa na timu ya Sevilla ya Spain.
Al ahly, Js saoura, As vita wote walichezea kichapo. TP mazembe ilijita ikapata sare. Yanga watauweza mfupa uliowashinda miamba ya soka Africa? Jibu wanalo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu pale kwa mkapa ni sevilla tu na timu za ulaya ndio zinaweza pata ushindi kwa simbaImani kama hiyo ndio iliyo iponza Simba dhidi ya UD Songo nakushuhudiwa wakitanguliwa goli na kisha wakaanza kuangaika kulichomoa. Mpira hauchezwi kwa maneno ya kumbukizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hushindi wa timu yoyote kupata ushindi mbele ya simba pale taifa ni ndotoMikia mnabebwa tu hamna lolote ndio maana mlitoka awali kama timu ya ndondo CAF
au wasitie timu kabisa
Elewa nini maana ya record kwanza, hajasema haijafungwa. Yeye anasema Kwenye uwanja wa mkapa simba imepoteza dhidi ya Sevila tu toka trh aliyoitaja Kwenye threadAcha ushubwada mzee.... Kufungwa ni kufungwa tu.... Ina maana shamba la bibi kiwanja ni kibaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushubwada mzee.... Kufungwa ni kufungwa tu.... Ina maana shamba la bibi kiwanja ni kibaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa ana hasira sana mpaka anashindwa kuelewa uziElewa nini maana ya record kwanza, hajasema haijafungwa. Yeye anasema Kwenye uwanja wa mkapa simba imepoteza dhidi ya Sevila tu toka trh aliyoitaja Kwenye thread
Sent using Jamii Forums mobile app
haiwezekani yanga akavunja hiyo record mkuu. na yanga wakienda hivyo hiyo siku kujifanya wanatafuta ushindi watachezea magoli mengi sanaRecords hazina maana before game zina make sense baada ya game ukiingia uwanjani na kiburi cha record huta amini unacho kiona
Sent using Jamii Forums mobile app