GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeshavunjwahiyo record nimekupa mkuu kama ulikuwa huijui. je yanga ataweza kuvunja hiyo record?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sare za kuolea hizo" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "
Jr[emoji769]
Imani kama hiyo ndio iliyo iponza Simba dhidi ya UD Songo nakushuhudiwa wakitanguliwa goli na kisha wakaanza kuangaika kulichomoa. Mpira hauchezwi kwa maneno ya kumbukizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikutahadharisha hukunisikia.mkuu pale kwa mkapa ni sevilla tu na timu za ulaya ndio zinaweza pata ushindi kwa simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimoja tu kimyaaa......bikra kwisha kazi unamjua kapteni Mudi aka Morison wewee.........leteni ngonjera zenu tenAhaiwezekani yanga akavunja hiyo record mkuu. na yanga wakienda hivyo hiyo siku kujifanya wanatafuta ushindi watachezea magoli mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
yanga ushindi wao kwa simba ni sare, wakipata sare dhidi ya mnyama huwa wanafurahi sana.
nawatakia yanga sare njema
Kwa kweli hawajaita timu kabisa tumeona[emoji23][emoji23][emoji16]au wasitie timu kabisa
Rudi kwemye uzi wako huu uendelee kupiga ramli[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo record nimekupa mkuu kama ulikuwa huijui. je yanga ataweza kuvunja hiyo record?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu simba aliyepoteza point 4 dhidi ya Yanga pekee?[emoji23][emoji23][emoji1787]" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "
Jr[emoji769]
Injinia umeisoma hiyo?Nataka niweke records sawa kwa wana yanga kuwa, mara ya mwisho Simba SC kufungwa Uwanja wa Taifa aka kwa mchina ilikuwa 23/05/2019 alifungwa na timu ya Sevilla ya Spain.
Al ahly, Js saoura, As vita wote walichezea kichapo. TP mazembe ilijita ikapata sare. Yanga watauweza mfupa uliowashinda miamba ya soka Africa? Jibu wanalo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba matokeoyanga ushindi wao kwa simba ni sare, wakipata sare dhidi ya mnyama huwa wanafurahi sana.
nawatakia yanga sare njema