Mara ya mwisho Simba kufungwa Taifa

Sare za kuolea hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haiwezekani yanga akavunja hiyo record mkuu. na yanga wakienda hivyo hiyo siku kujifanya wanatafuta ushindi watachezea magoli mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimoja tu kimyaaa......bikra kwisha kazi unamjua kapteni Mudi aka Morison wewee.........leteni ngonjera zenu tenA
 
Vipi kuhusu simba aliyepoteza point 4 dhidi ya Yanga pekee?[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Injinia umeisoma hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…