wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kawaida yangu nilikuwa nakaa nalalia blanketi hata mwaka mzima sijafua tena nilikuwa napiga kavu situmii shuka la kuzuia jasho ama uchafu mwengine.
Dry cleaners wanatusaidia sana maana kufua kwa mkono si shughuli ya kitoto.
Dry cleaners wanatusaidia sana maana kufua kwa mkono si shughuli ya kitoto.