Mara ya mwisho umefua blanketi lako lini?

Mara ya mwisho umefua blanketi lako lini?

Nimefua juzi, kuna binti alilitapikia, alikuja geto na anaumwa.
 
Sikuwahi toka nifike Mbeya nachoshukuru harufu yake nishaizoea.
Sasa majuzi nikapata mchuchu huku na kule kakubali kuja kulala kwangu, masikini ya Mungu kabinti ka watu kalipiga chafya usiku mzima. Mimi najifanya kukauliza shida nini kanasema hakaelewi kanajikuta tu Ila nilijua anaona aibu aibu kuniambia blanketi langu linanuka.
 
Back
Top Bottom