Aiseeee....kweli wewe ni JEURI.
Usikate tamaa magulumangu. inawezekana kacheka kama Sarai alipoambiwa utapata mtoto (she was shocked and didnt believe). Kama huna mazoea ya kumsifia sio lazima kwa sura tu, kuna nywele, macho, pua, kucha, vidole na yale mengine ya chumbani. hata kumsifia mkeo/mwenza kwa kuwa msafi na kuwajibika inatosha kabisa kumfanya ajisikie kuthaminiwa. Kwa mfano ww mkeo akuambie ''magu, u ar a good and responsible man. asante kwa kututunza mimi na watoto. na kwa kutupenda na kutujali'', hata kama ww sio handsome bado utajiskia ka-handsome flani,lol!
ila inamaanisha umeme wa mgao kwako ni advantage eeh? kinguonguo? acha kum'bania mwenzio
Duh....hiyo sasa ndio tabia nisiyoipenda.Unakuta mtu anaambiwa umependeza au kitu flani chako ni kizuri anajibu "NAJUA".
Kwahiyo binadamu hawastahili...
Umegusa kunako king'asti...ngoja nikupe hii basi...siku moja bwana tumecheza vilivyo kule kwetu kule...basi tukaka na kuanza story, nikamwambia mama ujue you r the the woman of my dream? hapo katabasamu, nikaona ngoja nizidi kuwa romantic, nikamwambia, you always make me to feel the owner of this living universy, katabasamu zaidi, bichwa likaanza mambo yake, nikamwambia tena, youre lips are deadly sweet honey, when you kiss me(source kale ka wimbo ka Shain Twain)...ghafla kabadilika, kuanzia leo usinisifie....hivi hapo kamaanisha nini au alifikiria nini?
Suppose mwanamke umemsifia ana sura nzuri nae anafurahi, kesho yake anamwagikiwa na mafuta ya moto usoni, utafanyaje? kuhamishia sifa kwingineko?
hahaha, magulumangu na ww sasa copy and paste haitakiwi. unadesa hadi jina? sifa za ku-quote hazipendezi banaa, ongea ukweli halisi. kama unampenda mtu kuna vitu milioni vya kumsifia. ni tabia pia ukijizoeza kuona something positive in every human kwani inakusaidia hata ww kuwa mtu bora na rahisi kupendeka