Mara ya mwisho....

Mara ya mwisho....

Huwa najitahidi kusifia, kama sijapenda sana nitamwambia Mfano: unamwambia umependeza halafu unge paka lipstik nyekundu/silver ingependeza zaidi
 
Na hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe.....
 
Mi nkinsifia kwa mfano namwambia D leo umependeza!! huwa anajibu..... Na uzuri nao unachangia!
 
Usikate tamaa magulumangu. inawezekana kacheka kama Sarai alipoambiwa utapata mtoto (she was shocked and didnt believe). Kama huna mazoea ya kumsifia sio lazima kwa sura tu, kuna nywele, macho, pua, kucha, vidole na yale mengine ya chumbani. hata kumsifia mkeo/mwenza kwa kuwa msafi na kuwajibika inatosha kabisa kumfanya ajisikie kuthaminiwa. Kwa mfano ww mkeo akuambie ''magu, u ar a good and responsible man. asante kwa kututunza mimi na watoto. na kwa kutupenda na kutujali'', hata kama ww sio handsome bado utajiskia ka-handsome flani,lol!

Umegusa kunako king'asti...ngoja nikupe hii basi...siku moja bwana tumecheza vilivyo kule kwetu kule...basi tukaka na kuanza story, nikamwambia mama ujue you r the the woman of my dream? hapo katabasamu, nikaona ngoja nizidi kuwa romantic, nikamwambia, you always make me to feel the owner of this living universy, katabasamu zaidi, bichwa likaanza mambo yake, nikamwambia tena, youre lips are deadly sweet honey, when you kiss me(source kale ka wimbo ka Shain Twain)...ghafla kabadilika, kuanzia leo usinisifie....hivi hapo kamaanisha nini au alifikiria nini?
 
Duh....hiyo sasa ndio tabia nisiyoipenda.Unakuta mtu anaambiwa umependeza au kitu flani chako ni kizuri anajibu "NAJUA".

.........sifa msifie ng'ombe,utakuntwa maziwa,akifa kama ukikosa nyama,maini,nozi,hata makongoro utakula................................
 
Kwahiyo binadamu hawastahili...

..............kama majibu menyewe ndo vicheko vya ki taarabu, na uzuri unachangia,najua au mtu unajipinda kumsifia halafu anakushushua..............eti INAHUUUUUUUUUUUUUUUU??? nadhani hawastahili,isipokuwa wewe unayejua maana.............
 
Suppose mwanamke umemsifia ana sura nzuri nae anafurahi, kesho yake anamwagikiwa na mafuta ya moto usoni, utafanyaje? kuhamishia sifa kwingineko?
 
hahaha, magulumangu na ww sasa copy and paste haitakiwi. unadesa hadi jina? sifa za ku-quote hazipendezi banaa, ongea ukweli halisi. kama unampenda mtu kuna vitu milioni vya kumsifia. ni tabia pia ukijizoeza kuona something positive in every human kwani inakusaidia hata ww kuwa mtu bora na rahisi kupendeka

Umegusa kunako king'asti...ngoja nikupe hii basi...siku moja bwana tumecheza vilivyo kule kwetu kule...basi tukaka na kuanza story, nikamwambia mama ujue you r the the woman of my dream? hapo katabasamu, nikaona ngoja nizidi kuwa romantic, nikamwambia, you always make me to feel the owner of this living universy, katabasamu zaidi, bichwa likaanza mambo yake, nikamwambia tena, youre lips are deadly sweet honey, when you kiss me(source kale ka wimbo ka Shain Twain)...ghafla kabadilika, kuanzia leo usinisifie....hivi hapo kamaanisha nini au alifikiria nini?
 
Suppose mwanamke umemsifia ana sura nzuri nae anafurahi, kesho yake anamwagikiwa na mafuta ya moto usoni, utafanyaje? kuhamishia sifa kwingineko?

Kumbe wewe uzuri ni sura tu? Tena akimwagikiwa hayo unayoyasema ndo unatakiwa kila wakati uwe karibu yake...Unatakiwa upendo wako ndo uwe mara kumi ya ule wa kwanza...
 
hahaha, magulumangu na ww sasa copy and paste haitakiwi. unadesa hadi jina? sifa za ku-quote hazipendezi banaa, ongea ukweli halisi. kama unampenda mtu kuna vitu milioni vya kumsifia. ni tabia pia ukijizoeza kuona something positive in every human kwani inakusaidia hata ww kuwa mtu bora na rahisi kupendeka

kumbe eeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom