Bas mkuu zero iq sio mtu mzuri kama anachakata hadi watu, tena ze same sex. Mambo ni mengi kweli.Mkuu ofa ya Zero IQ nakushauri ukae nayo mbali, la sivyo utakuja kusoma humu thread inayozungumzia jinsi alivyokuchakata baada ya kukukaribisha kwenye kiwanda chake cha kuchakata viazi.
Niligundua chips yai ni mboga,,labda niitumie kulia ugaliKwa nini sasa mkuu
Ndio hyo 2009 hadi leo sijaitumia tena...Uliitumia lini mkuu kama mboga
Acha uongo2009
Niapie kwa jina la nani?Acha uongo
Apia kwa jina la castle liteNiapie kwa jina la nani?
Kwa pombe nazotumia ningekua mla chips nishakufa
Hata hvyo vijuice situmiii...hahahaha bia unakunywa kreti bado upo vile vile tu,Apia kwa jina la castle lite
Hahaha hahahaHata hvyo vijuice situmiii...hahahaha bia unakunywa kreti bado upo vile vile tu,
Vipi tena jamani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeeeeeeeeeee
HakikaaaaHahaha hahaha
Wewe umeshindikana!
Ko ni k vant
Haya Apia kwa jina la k vantHakikaaaa
Out of topicBinafsi sipendi mayai....bora yakaangwe yakaushwe ntakula kuliko ya kuchemsha ndio siyawezi kabisa.
So chips mimi naweza maliza mwaka sijala. Chipsi kawaida inaweza kuwa kuchukua hata miezi 3 au 4.
Kachori (za viazi) nakula sana though