Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Kiepe yai noma.... Tukitoka ulevini usiku wa manane chakula cha fasta ni zege ili asubuhi usiamshwe na njaa...
IMG-20190512-WA0007.jpeg
 
Mara ya mwisho ilikuwa 2017.
Hata hivyo niliumia sana kukosa chakula na ilikuwa usiku.
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.

Cc Zero IQ
 
Nlkua sijala tangu feb.. Ndo nmekula leo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tena umenikumbusha
Ngoja leo niende nikavitengeneze nivitie zege na firigisi😛😛😛
 
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa.

Cc Zero IQ
Tatizo huwa mnauza mboga bila ugali, pika na nguna ya mtama hapo niwe mteja wako[emoji41]. Kula chipsi yai ni sawa na kula mchicha af unategemea kushiba,
 
Hapana mkuu hiyo lishe wanapendaga wanaume wa daslamu, mimi nikila hivyo hua sishibi labla nile kwanza ugali nikishashiba ndio nitafune hivyo vidude kama vile nakula popcorn.
Umenikumbusha mshkaji wangu alikuwa anasema hivyo pia eti chips kwake ni kama matunda anakula baada ya ugali..😄
 
Umenikumbusha mshkaji wangu alikuwa anasema hivyo pia eti chips kwake ni kama matunda anakula baada ya ugali..[emoji1]
Mimi chips na ndizi hua hazinibariki kabisa tumboni, yaani nikila baada ya nusu saa tu nasikia njaa kama vile sijala kitu.
 
Back
Top Bottom