ok karibu ila siku nyingine ukitaka kujiunga na mtandao wowote lazima kwanza usome taratibu zao kabla ya kujiunga!Wakubwa Shikamoni, wenzangu na mie Habari zenu,Mimi ni mgeni humu jamvini natambua kila sehem kuna sheria na utaratibu wake tafadhali nijuzeni angalau kidogo tu SHERIA na UTARATIBU wa humu ndani!
Marahaaaba,hujambo??KARIBU SANA