Mara yangu ya kwanza jamvini

Mara yangu ya kwanza jamvini

ALPHAH

New Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Wakubwa Shikamoni, wenzangu na mie Habari zenu,Mimi ni mgeni humu jamvini natambua kila sehem kuna sheria na utaratibu wake tafadhali nijuzeni angalau kidogo tu SHERIA na UTARATIBU wa humu ndani!
 
ok karibu ila siku nyingine ukitaka kujiunga na mtandao wowote lazima kwanza usome taratibu zao kabla ya kujiunga!
 
Back
Top Bottom