Mara yangu ya kwanza kumtia machoni Iddi Simba 1980s

Huyu mzee kwa cv yake hata "watu fulani afrika" bila sahii yake ilikuwa kupata chochote nchi kwa nchi ilikuwa kazi.kiukweli historia inapotezwa ukimfata kiundani sana. wasiojua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe kwanini huandiki Historia za Wazee wako ambao Mohamed Said hawaandiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkapa kamchana Iddi Simba kuhusu uzawa, kwenye kitabu chake Mkapa.

RIP Iddi Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikisemwa Fulani ni Rafiki Mkubwa wa Fulani au anamkubali fulani haimaanishi anamkubali kwa kila kitu

Mkapa alimkataza hadharan JPM kutumia Serikal ya JPM sijui ya tano alimtaka atumie maneno serikali ya ccm lakin hajatii lakin bado Che Nkapa anamkubali JPM
Mkapa kamchana Iddi Simba kuhusu uzawa, kwenye kitabu chake Mkapa.

RIP Iddi Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui maana yake upo kimakosa kwny Thread hii

Na sio kuwa hujui bali unakwepa swali nililokuuliza, nguvu unayotumia kumshambulia Mzee Mohamed Said kwanini usitumie kuandika Historia ya hao ambao anakwepa kuwaandika

Anza kwa kutuletea Taazia ya Nsa Kaisi maana Mohamed Said hajamuandika
Nimekuuliza "Historia ya Wazee" ndiyo nini lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaandikaje taazia ya Marehemu ambaye ulikuwa hauko karibu naye sababu tu ni Muislamu wa Gerezani?
 
Jibu lako ni sahihi mzee Mo Nafikiri amejibu vyema kuwa huwa ananena maisha yake na si vinginevyo.
Mtu hunena yamjazayo na si vinginevyo
Hivi wazee wa upande wa pili wa kikristo huwa huna story zao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuandika kwamba Mkapa anamkubali Iddi Simba katika kila kitu.

Nimejazia wasifu tu kwa mujibu wa kitabu nilichosoma hivi karibuni.

You are connecting two disjointed things.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aaah kumbe hata lile hall la sekondari ya wazazi ya Meta pale jijini Mbeya linaitwa Idd Simba kumbe ndio mwenyejina hilo!!
 
..mliokisoma kitabu cha Mzee Mkapa mmekipenda?

..kuna kitu chochote kipya au is Mzee Mkapa setting any record straight ktk kitabu chake?

Muhimu kukisoma kwa sababu jamii yetu hii, mambo mengi hayana maandishi.
Ameonyesha njia. Wengine wakijiunga naye kuandika, basi tunaweza kuwa na jamii ya uwajibikaji I guess.
 
Muhimu kukisoma kwa sababu jamii yetu hii, mambo mengi hayana maandishi.
Ameonyesha njia. Wengine wakijiunga naye kuandika, basi tunaweza kuwa na jamii ya uwajibikaji I guess.

..I dont feel like he is offering anything that is not known, or he is setting any record straight.

..sina uhakika kama kitakuwa kizuri kama kitabu cha Mzee Mtei au Conrad Mselle ambao ni watata kidogo na walikuwa na "makaburi ya kufukua."

Cc Kiranga
 

We need more people to write about their experience working as public servants in order to have a fair platform to assess or make comparisons.
My expectations are to see more books from different people. That culture will help us doing things responsibly. After all, one day the truth will be known in open about all the conduct of affairs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…