Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 Atakuja mwengine atasema Maradhi ya Nguvu za kiume. Yatakuwa sio tena Maradhi 13 yatakuwa maradhi 15.Mzizimkavu amesahau ugonjwa unao sumbua watu wengi sana yaani vidonda vya tumbo
[emoji23][emoji23][emoji23] shem bwana!Asante mkuu.
Jamii yetu ya kitanzania ina ugonjwa wa kuacha kupitia nyuzi kama hizi