Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
kamili bint full!
Uzi tayari
Hongera mkuu, upo na rafiki wafaida
Binafsi sina ugomvi na fedha.
VIJANA TAFUTENI HELAHabari wakuu?
Nadhani ni wakati muafaka sasa tukae chini na Pesa tumalize tofauti zetu, binafsi nipo tayari kuomba radhi!.
VIJANA TAFUTENI HELA
Usiwalaumu watu wanaojifanya machizi mbele ya hadhira tatizo ni hii kitu "pesa"
Siri ya sifuri ni kuchachawa kumkichwa; ni hatari na robo 🙂
Noma sana mkuuKauli mbiu ya Jeiefu,humu kila mtu Jeff Bezos
Tunapambana usiku na mchana kuitafuta mkuu, ila kuipata kuna mungu.
VIJANA TAFUTENI HELA
Au kiduku lillo
Kauli mbiu ya Jeiefu,humu kila mtu Jeff Bezos
Kabla ya kuruhusu huu mjadala kwenda mbali,hebu utuambie kwanza mpaka hapo ulipofikia, umeumwa maradhi mangapi/ ya aina gani hapo kabla?Habari wakuu?
Nadhani ni wakati muafaka sasa tukae chini na Pesa tumalize tofauti zetu, binafsi nipo tayari kuomba radhi!.
Mimi tajitolea maji ya kikaoHabari wakuu?
Nadhani ni wakati muafaka sasa tukae chini na Pesa tumalize tofauti zetu, binafsi nipo tayari kuomba radhi!.