Maradhi yote Ugua ila kuchacha usiombee!!

Maradhi yote Ugua ila kuchacha usiombee!!

Habari wakuu?
Nadhani ni wakati muafaka sasa tukae chini na Pesa tumalize tofauti zetu, binafsi nipo tayari kuomba radhi!.
Kabla ya kuruhusu huu mjadala kwenda mbali,hebu utuambie kwanza mpaka hapo ulipofikia, umeumwa maradhi mangapi/ ya aina gani hapo kabla?

Siku ukitembelea zile Hospitali kubwa kubwa za wagonjwa wa afya ya akili, wagonjwa kisukari, kansa, nk. Utakuja kuomba radhi. Yaani umeishiwa kidogo tu ndiyo ulinganishe hiyo hali yako na maradhi!!

Huwezi hata kupiga mizinga na kuishi kwa mission town kama wajanja wengine wa mjini!! 😇
 
Hali inakua ngumu,
mpaka unasali unaomba vitu vya ajabu[emoji1][emoji116]
500839210.jpg
 
Vijana wasiojua maisha bana wanaona pesa ndio kila kitu...Hujatembea mahospitalini MTU anakufa na pesa zimemzunguka zimejaaaa...yule MD wa safaricom Kenya alikuwa analipwa 100+ mill kwa mwezi lakini alijua havuki tarehe fulani atakayokufa kwa cancer....
 
Back
Top Bottom