Ballon 5. Huwa anashida wa Barca tu?Messi ni mzuri kwa klabu yake tu, barca. hana ubora wowote nje ya barca na hata taifa lake hajalifanyia chochote cha kukumbukwa
Mkuu sio siasa mashindano yanaitwa Uefa Champions League na Europa League, Messi amechukua Champions League na sio Europa League.Jibu kama umelewa. Issue ni koma tu hapo...
Acha siasa na kwenye hakuna
Kwani Title ipoje?
Hizo zote kazipata akiwa ndani ya barcelona. world cup qualifying hata hapa bongo kuna waliowahi kufunga magoli. Kwa kifupi hakuna cha kujivunia hapoBallon 5. Huwa anashida wa Barca tu?
World Cup Argentina Quafying 2 Goals...
Isitoshe mada ina uliza issue nyingine, ww unajibu issue nyingine!! Bongo bhana
Kwahiyo shida ni club au ni kushinda?Hizo zote kazipata akiwa ndani ya barcelona. world cup qualifying hata hapa bongo kuna waliowahi kufunga magoli. Kwa kifupi hakuna cha kujivunia hapo
Sijajibu chochote maana kwanza nataka nikuweke sawa ujue kutofautisha mashindano yenyewe kwanzaHujajibu chochote
Acha kuwa na mahaba na wanaume. Hapa suala ni ubora wa messi.Kwahiyo shida ni club au ni kushinda?
Una wivu wa kike!
Bongo ushinde hata AFCON tu imewashinda!!
Kwanza kabisa kabla sijaanza kukupa historia tuwekee source ya habari yako au picha ya hilo jarida ulilosomaJibu sasa
alikuambia yeye ni shoga? tatizo lenu mkishindwa uwanjani mnaanza kashfaJibu swali. Najua ni shabiki wa ye Shoga, CR7
Unachekesha aisee!!alikuambia yeye ni shoga? tatizo lenu mkishindwa uwanjani mnaanza kashfa
[emoji1] [emoji1] wewe kweli Enzymes sasa umeleta mada baada utulie ueleweshwe unapanic tenaHujui, chochote tulia.
Wanaujua watajibu