Maradona hana Europa cup?

Maradona hana Europa cup?

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,013
Jameni nimeona leo jarida moja online la nchini Spain kwa kifupi linasema Lionel Messi ameshinda CHAMPION CUP 4 ila huyu Gwiji, Maradona hana pia Europa Cup....

Ila Maradona ana WORLD CUP 1?

Jameni wazee wa Historia ya mpira, Wazee wa mpira, wazee wa kumeza data, Dr. Leaky, Edo Kumwembe, Shaffi Dauda, Ulimwengu Sport, mkuje huku mnifafanulie hili!!
 
Messi ni mzuri kwa klabu yake tu, barca. hana ubora wowote nje ya barca na hata taifa lake hajalifanyia chochote cha kukumbukwa
 
Kwanza hakuna mashindano yanayoitwa europa champions cup
 
Messi ni mzuri kwa klabu yake tu, barca. hana ubora wowote nje ya barca na hata taifa lake hajalifanyia chochote cha kukumbukwa
Ballon 5. Huwa anashida wa Barca tu?

World Cup Argentina Quafying 2 Goals...

Isitoshe mada ina uliza issue nyingine, ww unajibu issue nyingine!! Bongo bhana
 
Kwanza hakuna mashindano yanayoitwa europa champions cup
Jibu kama umelewa. Issue ni koma tu hapo...

Acha siasa na kwenye hakuna

Kwani Title ipoje?
 
Jibu kama umelewa. Issue ni koma tu hapo...

Acha siasa na kwenye hakuna

Kwani Title ipoje?
Mkuu sio siasa mashindano yanaitwa Uefa Champions League na Europa League, Messi amechukua Champions League na sio Europa League.
Inabidi kwanza ujue kutofautisha haya mashindano
 
Ballon 5. Huwa anashida wa Barca tu?

World Cup Argentina Quafying 2 Goals...

Isitoshe mada ina uliza issue nyingine, ww unajibu issue nyingine!! Bongo bhana
Hizo zote kazipata akiwa ndani ya barcelona. world cup qualifying hata hapa bongo kuna waliowahi kufunga magoli. Kwa kifupi hakuna cha kujivunia hapo
 
Mkuu sio siasa mashindano yanaitwa Uefa Champions League na Europa League, Messi amechukua Champions League na sio Europa League.
Inabidi kwanza ujue kutofautisha haya mashindano
Hujajibu chochote
 
Hizo zote kazipata akiwa ndani ya barcelona. world cup qualifying hata hapa bongo kuna waliowahi kufunga magoli. Kwa kifupi hakuna cha kujivunia hapo
Kwahiyo shida ni club au ni kushinda?

Una wivu wa kike!
Bongo ushinde hata AFCON tu imewashinda!!
 
Kwanza kabisa kabla sijaanza kukupa historia tuwekee source ya habari yako au picha ya hilo jarida ulilosoma
Hujui, chochote tulia.

Wanaujua watajibu
 
alikuambia yeye ni shoga? tatizo lenu mkishindwa uwanjani mnaanza kashfa
Unachekesha aisee!!

Sasa huyo Shoga amemshinda Messi kipi? Leo tu ana Goli 8 , mwenzie 20+

Ballon , ndio kamfikia na possibility ya kumzidi msimu huu ni kubwa!

Huenda turudi tu kwenye mada aisee
 
Back
Top Bottom