Maradona: Mourinho ni kocha bora kuliko Gardiola

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
883
Maradona;
Nimesha sema sana Mourinho ni kocha bora sana kuliko Gardiola.

-Mfumo wa tick tack(pasi nyingi)yeye sio mwanzilishi,ameiga kwa Johan.

-Kwa sasa anabebwa na pesa za waarabu,anasajili mchezaji yeyote anayemtaka.

My take
Hayo ni maneno ya Maradona,so mjumbe hauwawi
 
maradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
 
Mou alikuwa Madrid, hajafanya maajabu.
 
Hayo ni mawazo yake na yeyote anaweza kukubaliana nae ila kiukweli guardiola anajua. Namna anavyoweza kuibadilisha timu ikawa inashambulia kama chui hapana asee. Morinho kwa kikosi alichonacho ni kizito kwa individualism kuliko cha pep. Tatzo la morinho hajiamin na ndio maana mpaka leo ukiondoa degea hana first eleven. Unamnunua sanchez unaenda kumkabisha huoni kama ni matumiz mabaya ya resources? Sanchez toka aende Man U amefunga magoli machache kuliko Mahrez mwenye miezi minne. Hii si sawa kabsa. Kwa sasa morinho na pep hawako the same class hata kidogo.
 
Ukiachana na pep sijaona kocha mwngne
Ana jcho la kipekee juu ya wachezaj

Kumbuken alimuuza dinho katka ubora wake akabak na messi ambae n chipukiz kwa kipindi kile
 
Maradona uyo kichaa? Kwani wewe auna ubongo? Na ubongo wako una sema nani ni kocha bora kuliko mwenzie

Mou kawa kocha wa madrid team ya pesa aka wazee wa galacticos

Ame enda chelsea kwenye pesa za mrusi

Kaenda man u team tajiri duniani...
 
maradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
Kwan Morinho katumia shiling kununua wachezaj na hakuna mafanikio man u ?
 
Mourinho sio kocha bora ila anaweza kushinda vikombe kwa mbinde
 
Ukiachana na pep sijaona kocha mwngne
Ana jcho la kipekee juu ya wachezaj

Kumbuken alimuuza dinho katka ubora wake akabak na messi ambae n chipukiz kwa kipindi kile

Gaucho alijichokea akawa hana thamani tena mbele ya KING MESSI,,,
 
maradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
Yani wewe uwezi kabsa kuanalyse vitu, Morinho hakuna sehemu ameenda afu asitumie hela kujenga timu angalia akiwa na Inter alichukua wachezaji wa namna gani kuijenga inter, utofauti ni kwamba kipindi kile gharama za usajili zilikua ndg.
Pili Morinho hana uwezo wa kudelevope wachezaji ili apate mafanikio lazima awe na full packege tofauti na Pep. Acha kbsa kufananisha Pep na vitu vya ajabu.
 
Gaucho alijichokea akawa hana thamani tena mbele ya KING MESSI,,,
Sio kwel, coz usajiri wa gaucho ac milan dunia ilisimama na watu weng walihoj inakuaje mtu unamuuza mchezaj kama gaucho anaeweza kupindua matokeo muda wowote
Spirit ya mpira aliiacha palepale barca kule akaamua akacheze burudan tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…