Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Alibeba la liga before yeye Madrid walilikosa misimu mingi tuMou alipata nini Madrid?
Jibu hilo swali kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alibeba la liga before yeye Madrid walilikosa misimu mingi tuMou alipata nini Madrid?
Jibu hilo swali kwanza.
Mourinho kabeba klabu bingwa akiwa na timu tofauti na wachezaji tofauti vipi kwa Gurdiola toka abebe pale Barcelona amerudia tena kufanya hivyo wapi?Yani wewe uwezi kabsa kuanalyse vitu, Morinho hakuna sehemu ameenda afu asitumie hela kujenga timu angalia akiwa na Inter alichukua wachezaji wa namna gani kuijenga inter, utofauti ni kwamba kipindi kile gharama za usajili zilikua ndg.
Pili Morinho hana uwezo wa kudelevope wachezaji ili apate mafanikio lazima awe na full packege tofauti na Pep. Acha kbsa kufananisha Pep na vitu vya ajabu.
Alibeba la liga before yeye Madrid walilikosa misimu mingi tu
Hili ni suala la muda, mbona hujasema Morinho alivyofika man u hajabeba EPL ikiwa walifika sawa na Pep.Mourinho kabeba klabu bingwa akiwa na timu tofauti na wachezaji tofauti vipi kwa Gurdiola toka abebe pale Barcelona amerudia tena kufanya hivyo wapi?
ni unai emery mkuu sio wengermaradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
Dinho sio aliuzwa 2008 kipindi cha rijikadUkiachana na pep sijaona kocha mwngne
Ana jcho la kipekee juu ya wachezaj
Kumbuken alimuuza dinho katka ubora wake akabak na messi ambae n chipukiz kwa kipindi kile
maradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
Mourinho kabeba klabu bingwa akiwa na timu tofauti na wachezaji tofauti vipi kwa Gurdiola toka abebe pale Barcelona amerudia tena kufanya hivyo wapi?
Sio kwel, coz usajiri wa gaucho ac milan dunia ilisimama na watu weng walihoj inakuaje mtu unamuuza mchezaj kama gaucho anaeweza kupindua matokeo muda wowote
Spirit ya mpira aliiacha palepale barca kule akaamua akacheze burudan tu
Mou anasoka la lawama sana, hayuko open kama pep... huwezi kuwa na timu inakaba muda wote ukamaliza msimu vzr hata siku 1
Afanye hivyo na yeye ndio mrudi kumpamba hapa mafanikio yake ukilinganisha na Mou ni madogo sanaKwani ameshastaafu u coach?