Maradona: Mourinho ni kocha bora kuliko Gardiola

Mourinho kabeba klabu bingwa akiwa na timu tofauti na wachezaji tofauti vipi kwa Gurdiola toka abebe pale Barcelona amerudia tena kufanya hivyo wapi?
 
Mourinho kabeba klabu bingwa akiwa na timu tofauti na wachezaji tofauti vipi kwa Gurdiola toka abebe pale Barcelona amerudia tena kufanya hivyo wapi?
Hili ni suala la muda, mbona hujasema Morinho alivyofika man u hajabeba EPL ikiwa walifika sawa na Pep.
Morinho ana mechi zaidi ya 700 lakini kamzidi kikombe kimoja tu Pep mwenye mechi 300s
 
arosto tu hizo....akiwa sober ataelewa tuu kwamba aliongea shudu...
 
maradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
ni unai emery mkuu sio wenger
 
Ukiachana na pep sijaona kocha mwngne
Ana jcho la kipekee juu ya wachezaj

Kumbuken alimuuza dinho katka ubora wake akabak na messi ambae n chipukiz kwa kipindi kile
Dinho sio aliuzwa 2008 kipindi cha rijikad
 
Kwani wewe umezuiwa kusajiri wachezaji wazuri ?
Mtu anae unga mkono hoja za mla ndaga anahitaji kuchunguzwa
maradona kamaliza,huwezi kumsifu mtu anaefundisha timu ina xavi,iniesta,messi..anatoka hapo anakimbilia bayern inayonunua wachezaji wote wazuri bundes liga,akitoka hapo anaenda etihad anatumia pound 500+m wakati wenger katumia 70m
 
Kwani ameshastaafu u coach?
Mourinho kabeba klabu bingwa akiwa na timu tofauti na wachezaji tofauti vipi kwa Gurdiola toka abebe pale Barcelona amerudia tena kufanya hivyo wapi?
 
Sio kwel, coz usajiri wa gaucho ac milan dunia ilisimama na watu weng walihoj inakuaje mtu unamuuza mchezaj kama gaucho anaeweza kupindua matokeo muda wowote
Spirit ya mpira aliiacha palepale barca kule akaamua akacheze burudan tu

Sio kweli,, kiwango kilishuka muda mfupi tu,,,kajinenepea akawa hana thamani tena mbele ya mfalme wa soka kuwahi kutokea ktk ulimwengu wa soka. Tena msirudie tena kumuweka level ya Messi.
 
Mou anasoka la lawama sana, hayuko open kama pep... huwezi kuwa na timu inakaba muda wote ukamaliza msimu vzr hata siku 1
 
Hadi degea anabiwa kukaba sasa hapo si ujinga tu
Mou anasoka la lawama sana, hayuko open kama pep... huwezi kuwa na timu inakaba muda wote ukamaliza msimu vzr hata siku 1
 
Mnajichanganya tu si mlisema pep ligi ya England haiwezi!....aliwaambia mpira mzuri unaweza kuchezwa popote!mmeona sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…