Maradona: Simjui Messi kiundani, namjua juu juu lakini hafiki viwango vyetu Mimi na Pele

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,034
Reaction score
1,812
Màradona ameshasema hayo alipoulizwa swali na Pele ,

Kwamba màradona unamjua messi?

Màradona akajibu" Simjui Messi kiundani Ila namjua Kwa juu juu sababu ni mchezaji, ni nzuri Kwa sasa lakin hafikii viwango vyetu Mimi na wewe kipindi kileeee Kwanza anakosa sifa ya kiongozi ndani ya Timu, Hana ushawishi Kwa wenzake" alisema màradona


Video hii hapa chini
 
Maradona yuko sahihi!! we umeana wapi kaptain wa timu anajiudhulu baada ya timu kufungwa kwenye final?? alafu eti mpaka aombwe ndio arudi kuchezea timu ya taifa!!!

Amuige mungu wa mpira Cristiano Ronaldo aliyewapa moyo wenzake baada kukata tamaa kupiga penalti kwenye kombe la euro!! kwa ushawishi na uongozi wake mwisho wa siku wakabeba kombe!
 
Hao wote vimburu tu...kiboko yao Dinho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…